Kutoka 17:2 - Swahili Revised Union Version2 Kwa hiyo hao watu wakamgombeza Musa, wakasema, Tupe maji tunywe. Musa akawaambia, Kwa nini mnanigombeza? Mbona mnamjaribu BWANA? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kwa hiyo watu wakamnungunikia Mose wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Mose akawauliza, “Mbona mnaninungunikia? Mbona mnamjaribu Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kwa hiyo watu wakamnungunikia Mose wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Mose akawauliza, “Mbona mnaninungunikia? Mbona mnamjaribu Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kwa hiyo watu wakamnung'unikia Mose wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Mose akawauliza, “Mbona mnaninung'unikia? Mbona mnamjaribu Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa hiyo wakagombana na Musa wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Musa akajibu, “Mbona mnagombana nami? Kwa nini mnamjaribu Mwenyezi Mungu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa hiyo wakagombana na Musa wakisema, “Tupe maji ya kunywa.” Musa akajibu, “Mbona mnagombana nami? Kwa nini mnamjaribu bwana?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kwa hiyo hao watu wakamnung'unikia Musa, wakasema, Tupe maji tunywe. Musa akawaambia, Kwa nini mnaninung'unikia? Mbona mnamjaribu BWANA? Tazama sura |