Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 16:2 - Swahili Revised Union Version

2 Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Huko jangwani, jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;

Tazama sura Nakili




Kutoka 16:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote.


Lakini punde wakayasahau matendo yake, Wakakosa kungojea ushauri wake.


Bali wakanung'unika hemani mwao, Wala hawakuisikiliza sauti ya BWANA.


Baba zetu katika Misri Hawakuzingatia matendo yako ya ajabu; Hawakukumbuka wingi wa fadhili zako; Wakaasi penye bahari, Bahari ya Shamu.


Wakamwambia Musa, Je! Kwa sababu hapakuwa na makaburi katika Misri umetutoa huko ili tufe jangwani? Mbona umetutendea haya, kututoa katika nchi ya Misri?


Ndipo watu wakamnung'unikia Musa, wakisema, Tunywe nini?


Watu wakawa na kiu huko; nao wakamnung'unikia Musa, wakasema, Mbona umetupandisha kutoka Misri, kutuua sisi na watoto wetu na wanyama wetu kwa kiu?


wakawaambia, BWANA awaangalie na kuamua; kwa kuwa mmefanya harufu yetu kuwa chukizo mbele ya Farao, na mbele ya watumishi wake, mkatia upanga mikononi mwao, watuue.


kwa sababu watu hawa wote, ambao wameuona utukufu wangu na ishara zangu, nilizozitenda huko Misri, na huko jangwani, pamoja na haya wamenijaribu mara hizi kumi, wala hawakuisikiza sauti yangu;


Wala msinung'unike, kama wengine wao walivyonung'unika, wakauawa na mharibifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo