Kutoka 15:4 - Swahili Revised Union Version4 Magari ya Farao na jeshi lake amewatupa baharini, Maofisa wake wateule wamezama katika Bahari ya Shamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Magari na majeshi ya Farao ameyatumbukiza baharini, maofisa wake wateule wamezama katika bahari ya Shamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Magari na majeshi ya Farao ameyatumbukiza baharini, maofisa wake wateule wamezama katika bahari ya Shamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Magari na majeshi ya Farao ameyatumbukiza baharini, maofisa wake wateule wamezama katika bahari ya Shamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Magari ya vita ya Farao na jeshi lake amewatosa baharini. Maafisa wa Farao walio bora sana wamezamishwa katika Bahari ya Shamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Magari ya vita ya Farao na jeshi lake amewatosa baharini. Maafisa wa Farao walio bora sana wamezamishwa katika Bahari ya Shamu. Tazama sura |