Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 1:8 - Swahili Revised Union Version

8 Basi akatokea mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kisha mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Basi akatokea mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.

Tazama sura Nakili




Kutoka 1:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akawageuza moyo wawachukie watu wake, Wakawatendea hila watumishi wake.


Nenda, ukawakusanye wazee wa Israeli pamoja, ukawaambie, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenitokea, akaniambia, Hakika nimewajilieni, tena nimeyaona mnayotendewa huko Misri;


BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;


Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.


Basi, kulikuwemo na mtu maskini mwenye hekima, naye kwa hekima yake akauokoa mji ule lakini hata hivyo hapakuwa na mtu yeyote aliyemkumbuka yule mtu maskini.


hata mfalme mwingine asiyemfahamu Yusufu akaanza kutawala katika Misri.


Huyo akawafanyia hila kabila yetu, na kuwatenda mabaya baba zetu, akiwaamuru wawatupe watoto wao wachanga, ili wasiishi.


Wamisri wakatuonea, wakatutesa, wakatutumikisha utumwa mzito.


Tena watu wote wa kizazi hicho nao walikusanywa waende kwa baba zao; kikainuka kizazi kingine nyuma yao, ambacho hakikumjua BWANA, wala hawakuijua hiyo kazi ambayo alikuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo