Isaya 8:13 - Swahili Revised Union Version13 BWANA wa majeshi ndiye mtakayemtakasa; na awe yeye hofu yenu, na awe yeye utisho wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nitambue mimi peke yangu, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, kuwa mtakatifu; utaniogopa na kunicha mimi peke yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nitambue mimi peke yangu, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, kuwa mtakatifu; utaniogopa na kunicha mimi peke yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nitambue mimi peke yangu, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, kuwa mtakatifu; utaniogopa na kunicha mimi peke yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndiye peke yake ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, ndiye peke yake utakayemwogopa, ndiye peke yake utakayemhofu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye peke yake ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, ndiye peke yake utakayemwogopa, ndiye peke yake utakayemhofu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 BWANA wa majeshi ndiye mtakayemtakasa; na awe yeye hofu yenu, na awe yeye utisho wenu. Tazama sura |