Isaya 66:9 - Swahili Revised Union Version9 Je! Mimi nilete wana karibu na kuzaliwa, nisizalishe? Asema BWANA; mimi nizalishaye, je! Nilifunge tumbo? Asema Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Je, nitawatunza watu wangu mpaka karibu wazaliwe, halafu niwazuie wasizaliwe? Au mimi mwenye kuwajalia watoto, nitafunga kizazi chao? Mimi Mungu wenu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Je, nitawatunza watu wangu mpaka karibu wazaliwe, halafu niwazuie wasizaliwe? Au mimi mwenye kuwajalia watoto, nitafunga kizazi chao? Mimi Mungu wenu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Je, nitawatunza watu wangu mpaka karibu wazaliwe, halafu niwazuie wasizaliwe? Au mimi mwenye kuwajalia watoto, nitafunga kizazi chao? Mimi Mungu wenu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Je, nilete mwana hadi wakati wa kuzaliwa na nisizalishe?” asema Mwenyezi Mungu. “Je, nifunge tumbo la uzazi wakati mimi ndiye nizalishaye?” asema Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Je, nilete mwana hadi wakati wa kuzaliwa na nisizalishe?” asema bwana. “Je, nifunge tumbo la uzazi wakati mimi ndiye nizalishaye?” asema Mungu wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Je! Mimi nilete wana karibu na kuzaliwa, nisizalishe? Asema BWANA; mimi nizalishaye, je! Nilifunge tumbo? Asema Mungu wako. Tazama sura |