Isaya 65:10 - Swahili Revised Union Version10 Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng'ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Nchi tambarare ya Sharoni itakuwa malisho, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya mifugo kwa ajili ya watu wangu walionitafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Nchi tambarare ya Sharoni itakuwa malisho, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya mifugo kwa ajili ya watu wangu walionitafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Nchi tambarare ya Sharoni itakuwa malisho, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya mifugo kwa ajili ya watu wangu walionitafuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Sharoni itakuwa malisho kwa ajili ya makundi ya kondoo, na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia kwa makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Sharoni itakuwa malisho kwa ajili ya makundi ya kondoo, na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia kwa makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng'ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta. Tazama sura |