Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 64:12 - Swahili Revised Union Version

12 Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee BWANA? Utanyamaza, na kutuadhibu vikali?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ee Mwenyezi Mungu, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza, na kutuadhibu kupita kiasi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ee bwana, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi?

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee BWANA? Utanyamaza, na kutuadhibu vikali?

Tazama sura Nakili




Isaya 64:12
12 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani unajificha nyakati za shida?


Ee BWANA, hadi lini? Utaona hasira milele? Wivu wako utawaka kama moto?


Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie.


Siku nyingi nimenyamaza kimya; nimenyamaza, nikajizuia; sasa nitapiga kelele kama mwanamke aliye katika kuzaa; nitaugua na kutweta pamoja.


Tazama toka mbinguni, ukaone toka makao ya utukufu wako na fahari yako; uko wapi wivu wako, na uweza wako? Shauku ya moyo wako, na huruma zako zimezuiliwa kwangu.


Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;


Ndipo yule malaika wa BWANA akajibu, akasema, Ee BWANA wa majeshi, hadi lini utakataa kuurehemu Yerusalemu, na miji ya Yuda uliyoikasirikia miaka hii sabini?


Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, na Mkweli, utakawia hadi lini kuhukumu na kuilipa damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo