Isaya 64:1 - Swahili Revised Union Version1 Laiti ungepasua mbingu, na kushuka, ili milima itetemeke mbele zako; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Laiti ungalizipasua mbingu ukashuka chini, milima ikakuona na kutetemeka kwa hofu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Laiti ungalizipasua mbingu ukashuka chini, milima ikakuona na kutetemeka kwa hofu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Laiti ungalizipasua mbingu ukashuka chini, milima ikakuona na kutetemeka kwa hofu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Laiti ungepasua mbingu na kushuka chini, ili milima itetemeke mbele zako! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Laiti ungelipasua mbingu na kushuka chini, ili milima ingelitetemeka mbele zako! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Laiti ungepasua mbingu, na kushuka, ili milima itetemeke mbele zako; Tazama sura |
Na siku hiyo miguu yake itasimama juu ya mlima wa Mizeituni, unaoelekea Yerusalemu upande wa mashariki, nao mlima wa Mizeituni utapasuka katikati yake, upande wa mashariki na upande wa magharibi; litakuwako huko bonde kubwa sana; na nusu ya mlima ule utaondoka kwenda upande wa kaskazini, na nusu yake itaondoka kwenda upande wa kusini.