Isaya 62:3 - Swahili Revised Union Version3 Nawe utakuwa taji la uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Utakuwa taji la fahari mkononi mwa Mwenyezi Mungu, taji la kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa bwana, taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nawe utakuwa taji la uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama sura |