Isaya 57:2 - Swahili Revised Union Version2 Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 ili apate kuingia kwenye amani.” Watu wanaofuata njia ya haki, watakuwa na amani na kupumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 ili apate kuingia kwenye amani.” Watu wanaofuata njia ya haki, watakuwa na amani na kupumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 ili apate kuingia kwenye amani.” Watu wanaofuata njia ya haki, watakuwa na amani na kupumzika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wale wanaoenda kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko wanapolala mautini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wale waendao kwa unyofu huwa na amani; hupata pumziko walalapo mautini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake. Tazama sura |