Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 54:12 - Swahili Revised Union Version

12 Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Minara yako nitaijenga kwa mawe ya akiki, malango yako kwa almasi, na ukuta wako kwa mawe ya thamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito ving’aavyo, nazo kuta zako zote za vito vya thamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito ving’aavyo, nazo kuta zako zote za vito vya thamani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Nami nitaifanya minara yako ya akiki nyekundu, na malango yako ya almasi, na mipaka yako yote ya mawe yapendezayo.

Tazama sura Nakili

Isaya 54:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na madirisha yalikuwako safu tatu, mwangaza kuelekea mwangaza katika madaraja matatu.

na safu ya tatu itakuwa hiakintho, na akiki nyekundu, na amethisto;

Tazama, nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako ziko mbele zangu daima.

Ewe uliyeteswa, uliyerushwa na tufani, usiyetulizwa, tazama, nitaweka mawe yako kwa rangi nzuri, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi.

Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.

na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya makabila ya Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.

Na BWANA, Mungu wao, atawaokoa siku hiyo, Kama kundi la watu wake; Kwa maana watakuwa kama vito vya taji, Vikimetameta juu ya nchi yake.

ulikuwa na ukuta mkubwa, mrefu, wenye milango kumi na miwili, na katika ile milango malaika kumi na wawili; na majina yameandikwa ambayo ni majina ya makabila kumi na mawili ya Waisraeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo