Isaya 53:1 - Swahili Revised Union Version1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia? Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Mwenyezi Mungu umefunuliwa kwa nani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa bwana umefunuliwa kwa nani? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa BWANA amefunuliwa nani? Tazama sura |