Isaya 52:3 - Swahili Revised Union Version3 Maana BWANA asema hivi, Mliuzwa bure; nanyi mtakombolewa bila fedha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nyinyi mliuzwa utumwani bila malipo yoyote, na mtakombolewa bila kulipa hata senti moja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nyinyi mliuzwa utumwani bila malipo yoyote, na mtakombolewa bila kulipa hata senti moja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Nyinyi mliuzwa utumwani bila malipo yoyote, na mtakombolewa bila kulipa hata senti moja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa kuwa hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “Mliuzwa pasipo malipo, nanyi mtakombolewa bila fedha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa kuwa hili ndilo asemalo bwana: “Mliuzwa pasipo malipo, nanyi mtakombolewa bila fedha.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Maana BWANA asema hivi, Mliuzwa bure; nanyi mtakombolewa bila fedha. Tazama sura |