Isaya 51:18 - Swahili Revised Union Version18 Hapana hata mmoja wa kumwongoza Miongoni mwa wana wote aliowazaa, Wala hapana hata mmoja wa kumshika mkono Miongoni mwa wana wote aliowalea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kati ya watoto wote uliowazaa hakuna yeyote wa kukuongoza. Hakuna hata mmoja wa kukushika mkono kati ya watoto wote uliowalea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kati ya watoto wote uliowazaa hakuna yeyote wa kukuongoza. Hakuna hata mmoja wa kukushika mkono kati ya watoto wote uliowalea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kati ya watoto wote uliowazaa hakuna yeyote wa kukuongoza. Hakuna hata mmoja wa kukushika mkono kati ya watoto wote uliowalea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kati ya wana wote aliowazaa hapakuwa na hata mmoja wa kumwongoza; kati ya wana wote aliowalea hapakuwa hata mmoja wa kumshika mkono. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kati ya wana wote aliowazaa hakuwepo hata mmoja wa kumwongoza, kati ya wana wote aliowalea hakuwepo hata mmoja wa kumshika mkono. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Hapana hata mmoja wa kumwongoza Miongoni mwa wana wote aliowazaa, Wala hapana hata mmoja wa kumshika mkono Miongoni mwa wana wote aliowalea. Tazama sura |