Isaya 48:2 - Swahili Revised Union Version2 Maana hujiita wenyeji wa mji mtakatifu, hujitegemeza juu ya Mungu wa Israeli; BWANA wa majeshi ni jina lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu, na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu, na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu, na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 ninyi mnaojiita raia wa mji mtakatifu, na kumtegemea Mungu wa Israeli, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 ninyi mnaojiita raiya wa mji mtakatifu, na kumtegemea Mungu wa Israeli, bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Maana hujiita wenyeji wa mji mtakatifu, hujitegemeza juu ya Mungu wa Israeli; BWANA wa majeshi ni jina lake. Tazama sura |