Isaya 43:12 - Swahili Revised Union Version12 Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonesha, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yenu; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema BWANA, nami ni Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikaja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyewahi kufanya hivyo, nanyi ni mashahidi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikaja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyewahi kufanya hivyo, nanyi ni mashahidi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nilitangaza yale ambayo yangetukia, kisha nikaja na kuwakomboa. Hakuna mungu mwingine aliyewahi kufanya hivyo, nanyi ni mashahidi wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: Mimi mwenyewe, bali si mungu mgeni kati yenu. Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Mwenyezi Mungu, “kwamba Mimi ndimi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. Ninyi ni mashahidi wangu,” asema bwana, “kwamba Mimi ndimi Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Nimetangaza habari, nimeokoa, nimeonesha, na hapakuwa mungu wa kigeni kati yenu; kwa sababu hiyo ninyi ni mashahidi wangu, asema BWANA, nami ni Mungu. Tazama sura |