Isaya 41:3 - Swahili Revised Union Version3 Awafuatia, apita salama hata kwa njia asiyoikanyaga kamwe kwa miguu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yeye huwafuatia na kupita salama; huenda kasi kana kwamba hagusi chini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yeye huwafuatia na kupita salama; huenda kasi kana kwamba hagusi chini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yeye huwafuatia na kupita salama; huenda kasi kana kwamba hagusi chini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Huwafuatia na kuendelea salama, katika njia ambayo miguu yake haijawahi kupita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Huwafuatia na kuendelea salama, katika njia ambayo miguu yake haijawahi kupita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Awafuatia, apita salama hata kwa njia asiyoikanyaga kamwe kwa miguu yake. Tazama sura |