Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 40:3 - Swahili Revised Union Version

3 Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya BWANA; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Sauti ya mtu anaita jangwani: “Mtayarishieni Mwenyezi-Mungu njia, nyosheni barabara kuu kwa ajili ya Mungu wetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Sauti ya mtu anaita jangwani: “Mtayarishieni Mwenyezi-Mungu njia, nyosheni barabara kuu kwa ajili ya Mungu wetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Sauti ya mtu anaita jangwani: “Mtayarishieni Mwenyezi-Mungu njia, nyosheni barabara kuu kwa ajili ya Mungu wetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Sauti ya mtu aliaye nyikani: “Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu jangwani, yanyoosheni mapito nyikani kwa ajili ya Mungu wetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Sauti ya mtu aliaye: “Itengenezeni jangwani njia ya bwana, nyoosheni njia kuu nyikani kwa ajili ya Mungu wetu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya BWANA; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.

Tazama sura Nakili




Isaya 40:3
16 Marejeleo ya Msalaba  

Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake, Mwimbieni wimbo yeye apitaye katika mawingu, Jina lake ni YAHU; Shangilieni mbele zake.


Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.


Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;


Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.


Nami nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na njia zangu zote kuu zitainuliwa.


Naye atasema, Tutieni, tutieni, Itengenezeni njia, Ondoeni kila kizuizi Katika njia ya watu wangu.


Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijia katika hekalu lake ghafla; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi.


Akasema, Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Inyosheni njia ya Bwana! Kama vile alivyonena nabii Isaya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo