Isaya 40:29 - Swahili Revised Union Version29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yeye huwapa uwezo walio hafifu, wanyonge huwapa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yeye huwapa uwezo walio hafifu, wanyonge huwapa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yeye huwapa uwezo walio hafifu, wanyonge huwapa nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Tazama sura |