Isaya 40:27 - Swahili Revised Union Version27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo, kwa nini mnalalamika na kusema: “Mwenyezi-Mungu hatujali sisi! Mungu wetu hajali haki yetu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kwa nini unasema, ee Yakobo, nanyi ee Israeli, kulalamika, “Njia yangu imefichwa Mwenyezi Mungu asiione, Mungu wangu hajali shauri langu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kwa nini unasema, ee Yakobo, nanyi ee Israeli, kulalamika, “Njia yangu imefichwa bwana asiione, Mungu wangu hajali shauri langu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie? Tazama sura |