Isaya 40:16 - Swahili Revised Union Version16 Lebanoni nao hautoshelezi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kuni zote za Lebanoni na wanyama wake wote havitoshi kwa sadaka ya kuteketezwa mbele yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa sadaka za kuteketezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lebanoni hautoshi kwa moto wa madhabahuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa sadaka za kuteketezwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Lebanoni nao hautoshelezi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara. Tazama sura |