Isaya 40:13 - Swahili Revised Union Version13 Ni nani aliyemwongoza Roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu, au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya bwana, au kumfundisha akiwa kama mshauri wake? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Ni nani aliyemwongoza Roho ya BWANA, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake? Tazama sura |