Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 39:5 - Swahili Revised Union Version

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la BWANA wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la bwana Mwenye Nguvu Zote:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la BWANA wa majeshi.

Tazama sura Nakili

Isaya 39:5
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akasema, Wameona nini katika nyumba yako? Hezekia akajibu, Wameviona vitu vyote vilivyomo nyumbani mwangu; hapana kitu katika hazina zangu ambacho sikuwaonesha.

Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Ngoja, nami nitakuambia neno aliloniambia BWANA usiku huu. Naye akamwambia, Haya, sema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo