Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 37:34 - Swahili Revised Union Version

34 Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema bwana.

Tazama sura Nakili




Isaya 37:34
4 Marejeleo ya Msalaba  

Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.


Hutawaona watu wale wakali; watu wa maneno magumu usiyoweza kuyafahamu; wenye lugha ya kigeni usiyoweza kuielewa.


Kwa sababu ya kunighadhibikia kwako, na kwa sababu kutakabari kwako kumefika masikioni mwangu, nitatia kulabu yangu katika pua yako, na hatamu yangu midomoni mwako, nami nitakurudisha kwa njia ile ile uliyoijia.


Nami nitaulinda mji huu, niuokoe kwa ajili yangu mwenyewe, na kwa ajili ya Daudi, mtumishi wangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo