Isaya 37:25 - Swahili Revised Union Version25 Nimechimba na kunywa maji, na kwa nyayo za miguu yangu nitaikausha mito yote ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa nyayo za miguu yangu.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa nyayo za miguu yangu.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nimechimba visima na kunywa maji yake, na nilikausha vijito vya Misri kwa nyayo za miguu yangu.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Nimechimba visima katika nchi za kigeni na kunywa maji yake. Kwa nyayo za miguu yangu nimekausha vijito vyote vya Misri.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Nimechimba visima katika nchi za kigeni na kunywa maji yake. Kwa nyayo za miguu yangu nimekausha vijito vyote vya Misri.’ Tazama sura |