Isaya 37:18 - Swahili Revised Union Version18 Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wameziharibu nchi zote, na mashamba yao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa yote na nchi zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 “Ni kweli, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 “Ni kweli, Ee bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wameziharibu nchi zote, na mashamba yao, Tazama sura |