Isaya 37:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa mfalme Hezekia aliposikia hayo, alizirarua nguo zake, akajivika nguo za magunia, akaingia katika nyumba ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, mfalme Hezekia aliposikia habari hiyo alirarua mavazi yake, akavaa vazi la gunia, akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, mfalme Hezekia aliposikia habari hiyo alirarua mavazi yake, akavaa vazi la gunia, akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, mfalme Hezekia aliposikia habari hiyo alirarua mavazi yake, akavaa vazi la gunia, akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mfalme Hezekia aliposikia haya, akararua nguo zake na kuvaa gunia, na akaenda katika Hekalu la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mfalme Hezekia aliposikia haya, akararua nguo zake na kuvaa nguo ya gunia, naye akaenda katika Hekalu la bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa mfalme Hezekia aliposikia hayo, alizirarua nguo zake, akajivika nguo za magunia, akaingia katika nyumba ya BWANA. Tazama sura |