Isaya 34:12 - Swahili Revised Union Version12 Watawaitia wakuu wake ufalme, lakini hawatakuwapo; wakuu wake wote wamekuwa si kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nchi itaitwa “Nchi bila Mfalme;” wakuu wake wote wametoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nchi itaitwa “Nchi bila Mfalme;” wakuu wake wote wametoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nchi itaitwa “Nchi bila Mfalme”; wakuu wake wote wametoweka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote kitakachoitwa ufalme huko, nao wakuu wao wote watatoweka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote kitakachoitwa ufalme huko, nao wakuu wao wote watatoweka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Watawaitia wakuu wake ufalme, lakini hawatakuwapo; wakuu wake wote wamekuwa si kitu. Tazama sura |