Isaya 34:10 - Swahili Revised Union Version10 Haitazimwa mchana wala usiku, moshi wake utapaa milele; tangu kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa; hapana mtu atakayepita kati yake milele na milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Itawaka usiku na mchana bila kuzimika, moshi wake utafuka juu milele. Nchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Itawaka usiku na mchana bila kuzimika, moshi wake utafuka juu milele. Nchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Itawaka usiku na mchana bila kuzimika, moshi wake utafuka juu milele. Nchi itakuwa jangwa siku zote, hakuna atakayepitia huko milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Haitazimishwa usiku wala mchana, moshi wake utapaa juu milele. Kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa; hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Haitazimishwa usiku wala mchana, moshi wake utapaa juu milele. Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Haitazimwa mchana wala usiku, moshi wake utapaa milele; tangu kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa; hapana mtu atakayepita kati yake milele na milele. Tazama sura |