Isaya 30:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi, nguvu za Farao zitakuwa aibu yenu, na kutumainia kivuli cha Misri kutakuwa aibu yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini ulinzi wa Farao utakuwa aibu yenu, na usalama nchini Misri utakuwa fedheha yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini ulinzi wa Farao utakuwa aibu yenu, na usalama nchini Misri utakuwa fedheha yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini ulinzi wa Farao utakuwa aibu yenu, na usalama nchini Misri utakuwa fedheha yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi, nguvu za Farao zitakuwa aibu yenu, na kutumainia kivuli cha Misri kutakuwa aibu yenu. Tazama sura |