Isaya 30:11 - Swahili Revised Union Version11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Geukeni na kuiacha njia ya ukweli; msituambie tena juu ya Mungu, Mtakatifu wa Israeli.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Geukeni na kuiacha njia ya ukweli; msituambie tena juu ya Mungu, Mtakatifu wa Israeli.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Geukeni na kuiacha njia ya ukweli; msituambie tena juu ya Mungu, Mtakatifu wa Israeli.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Acheni njia hii, ondokeni katika mapito haya, nanyi acheni kutukabili pamoja na yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Acheni njia hii, ondokeni katika mapito haya, nanyi acheni kutukabili pamoja na yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu. Tazama sura |