Isaya 28:22 - Swahili Revised Union Version22 Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Basi, nyinyi msiwe na madharau vifungo vyenu visije vikakazwa zaidi. Maana nimesikia kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameazimia kuiangamiza nchi yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, nyinyi msiwe na madharau vifungo vyenu visije vikakazwa zaidi. Maana nimesikia kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameazimia kuiangamiza nchi yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, nyinyi msiwe na madharau vifungo vyenu visije vikakazwa zaidi. Maana nimesikia kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameazimia kuiangamiza nchi yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Sasa acheni dharau zenu, la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi. Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, ameniambia habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Sasa acheni dharau zenu, la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi. Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, ameniambia habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia. Tazama sura |