Isaya 26:7 - Swahili Revised Union Version7 Njia yake mwenye haki ni unyofu; Wewe uliye mnyofu wainyosha njia ya mwenye haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Njia ya watu wanyofu ni rahisi; ewe Mungu mwadilifu, wasawazisha njia yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Njia ya watu wanyofu ni rahisi; ewe Mungu mwadilifu, wasawazisha njia yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Njia ya watu wanyofu ni rahisi; ewe Mungu mwadilifu, wasawazisha njia yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mapito ya wenye haki ni nyoofu. Ewe uliye Mwenye Haki, waisawazisha njia ya mtu mnyofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mapito ya wenye haki yamenyooka. Ewe uliye Mwenye Haki, waisawazisha njia ya mtu mnyofu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Njia yake mwenye haki ni unyofu; Wewe uliye mnyofu wainyosha njia ya mwenye haki. Tazama sura |