Isaya 26:12 - Swahili Revised Union Version12 BWANA, utatuamuria amani; maana ni wewe pia uliyetutendea kazi zetu zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, umetupatia amani; umefanikisha shughuli zetu zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, umetupatia amani; umefanikisha shughuli zetu zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, umetupatia amani; umefanikisha shughuli zetu zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu, unaamuru amani kwa ajili yetu, yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana, unaamuru amani kwa ajili yetu, yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 BWANA, utatuamuria amani; maana ni wewe pia uliyetutendea kazi zetu zote. Tazama sura |