Isaya 24:3 - Swahili Revised Union Version3 Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa; Mwenyezi-Mungu ametamka hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa; Mwenyezi-Mungu ametamka hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa; Mwenyezi-Mungu ametamka hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Dunia itaharibiwa kabisa na kutekwa nyara kabisa. Mwenyezi Mungu amesema neno hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Dunia itaharibiwa kabisa na kutekwa nyara kabisa. bwana amesema neno hili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo. Tazama sura |
Na itakuwa kama ilivyo hali ya watu, ndivyo itakavyokuwa hali ya kuhani; kama ilivyo hali ya mtumwa, ndivyo itakavyokuwa hali ya bwana wake; kama ilivyo hali ya mjakazi, ndivyo itakavyokuwa hali ya bibi yake; kama ilivyo hali yake anunuaye, ndivyo itakavyokuwa hali yake auzaye; kama ilivyo hali yake akopeshaye, ndivyo itakavyokuwa hali yake akopaye; kama ilivyo hali yake atwaaye faida, ndivyo itakavyokuwa hali yake ampaye faida.