Isaya 24:17 - Swahili Revised Union Version17 Hofu, na shimo, na mtego, viko juu yako, Ee mwenye kukaa duniani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hofu, mashimo na mitego, hivi ndivyo vinavyowangojeni enyi wakazi wa dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hofu, mashimo na mitego, hivi ndivyo vinavyowangojeni enyi wakazi wa dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hofu, mashimo na mitego, hivi ndivyo vinavyowangojeni enyi wakazi wa dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hofu, shimo na mtego vinakungojea, ewe mtu ukaaye duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hofu, shimo na mtego vinakungojea, ewe mtu ukaaye duniani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Hofu, na shimo, na mtego, viko juu yako, Ee mwenye kukaa duniani. Tazama sura |