Isaya 23:14 - Swahili Revised Union Version14 Pigeni yowe, enyi merikebu za Tarshishi; maana ngome yenu imefanywa ukiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Pigeni yowe enyi meli za Tarshishi, maana kimbilio lenu limeharibiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Pigeni yowe enyi meli za Tarshishi, maana kimbilio lenu limeharibiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Pigeni yowe enyi meli za Tarshishi, maana kimbilio lenu limeharibiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; ngome yenu imeangamizwa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; ngome yenu imeangamizwa! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Pigeni yowe, enyi merikebu za Tarshishi; maana ngome yenu imefanywa ukiwa. Tazama sura |