Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 22:7 - Swahili Revised Union Version

7 Hata ikawa mabonde yako mateule yamejaa magari ya vita, nao wapandao farasi wamejipanga katika malango.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu, yalijaa magari ya vita na farasi; wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu, yalijaa magari ya vita na farasi; wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu, yalijaa magari ya vita na farasi; wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Hata ikawa mabonde yako mateule yamejaa magari ya vita, nao wapandao farasi wamejipanga katika malango.

Tazama sura Nakili

Isaya 22:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na Elamu wameshika podo, pamoja na magari ya vita, na watu wenye kupanda farasi; na Kiri wameifunua ngao.

Kisha alikiondoa kifuniko cha Yuda, nawe siku hiyo ulivitazama vyombo vya vita katika nyumba ya mwituni.

Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema BWANA.

Kwa kuwa, tazama, nitaziita jamaa zote za falme za kaskazini, asema BWANA; nao watakuja, na kuweka kila mtu kiti chake cha enzi mbele ya mahali pa kuingilia malango ya Yerusalemu, na kuzielekea kuta zake pande zote, na kuielekea miji yote ya Yuda.

ukauhusuru, ukajenge ngome juu yake, na kufanya boma juu yake; ukaweke makambi juu yake, na kuweka magogo ya kuubomoa yauzunguke pande zote.

Kisha ukajipatie bamba la chuma, ukalisimamishe liwe ukuta wa chuma kati ya wewe na mji huo; ukaelekeze uso wako juu yake, nao utahusuriwa, nawe utauhusuru. Hili litakuwa ishara kwa nyumba ya Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo