Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 22:17 - Swahili Revised Union Version

17 Tazama, BWANA atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzongazonga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 “Jihadhari, Mwenyezi Mungu yu karibu kukukamata thabiti, na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “Jihadhari, bwana yu karibu kukukamata thabiti, na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Tazama, BWANA atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzongazonga.

Tazama sura Nakili




Isaya 22:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha mfalme akarudi kutoka katika bustani ya ngome hadi mahali pa karamu ya divai. Ikawa Hamani amejitupa chini penye kitanda alipokuwapo Esta. Mfalme akasema, Namna gani! Je! Atamfanyia malkia jeuri hata machoni pangu nyumbani mwangu? Na neno lilipotoka kinywani mwa mfalme, wakamfunika uso Hamani.


Dunia imetiwa mkononi mwa waovu; Yeye hufunika nyuso za waamuzi wake; Kama si yeye, ni nani basi?


Unafanyaje hapa? Nawe una nani hapa? Hata ukachimba kaburi hapa; ukamchimbia kaburi huko juu, na kumchongea makao katika jabali!


Hakika atakukunja na kukutupa kama mpira, mpaka nchi iliyo mbali; huko utakufa, na magari ya utukufu wako yatakuwa kuko huko, ewe uliye aibu ya nyumba ya bwana wako.


Maana BWANA asema hivi, Tazama, wakati huu nitawatupa wenyeji wa nchi hii kama kwa kombeo, nitawataabisha, wapate kuona taabu.


Na wakuu wao huwatuma watoto wao kwenye maji; Nao hufika visimani wasipate maji; Hurudi, na vyombo vyao ni vitupu; Wametahayarika na kufadhaika, Na kuvifunika vichwa vyao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo