Isaya 22:10 - Swahili Revised Union Version10 Nanyi mlizihesabu nyumba za Yerusalemu, mkazibomoa nyumba ili kuutia nguvu ukuta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mlizikagua nyumba za mji wa Yerusalemu, mkabomoa baadhi yake ili kupata mawe ya kuimarisha kuta za mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mlizikagua nyumba za mji wa Yerusalemu, mkabomoa baadhi yake ili kupata mawe ya kuimarisha kuta za mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mlizikagua nyumba za mji wa Yerusalemu, mkabomoa baadhi yake ili kupata mawe ya kuimarisha kuta za mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mlihesabu majengo katika Yerusalemu nanyi mkabomoa nyumba ili kuimarisha ukuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mlihesabu majengo katika Yerusalemu nanyi mkabomoa nyumba ili kuimarisha ukuta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Nanyi mlizihesabu nyumba za Yerusalemu, mkazibomoa nyumba ili kuutia nguvu ukuta. Tazama sura |