Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 2:5 - Swahili Revised Union Version

5 Enyi wa nyumba ya Israeli, njoni, twende katika nuru ya BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Sasa, enyi wazawa wa Yakobo, njoni, tutembee katika mwanga wa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Sasa, enyi wazawa wa Yakobo, njoni, tutembee katika mwanga wa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Sasa, enyi wazawa wa Yakobo, njoni, tutembee katika mwanga wa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Njooni, enyi nyumba ya Yakobo, tutembeeni katika nuru ya Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Njooni, enyi nyumba ya Yakobo, tutembeeni katika nuru ya bwana

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Enyi wa nyumba ya Israeli, njoni, twende katika nuru ya BWANA.

Tazama sura Nakili




Isaya 2:5
16 Marejeleo ya Msalaba  

Uwadumishie wakujuao fadhili zako, Na wanyofu wa moyo uaminifu wako.


Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee BWANA, waendao, katika nuru ya uso wako.


Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa, Na kwa haki yako hutukuzwa.


Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA katika Yerusalemu.


Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubirie watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.


Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani.


Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; nendeni kama watoto wa nuru,


Na hii ndiyo habari tuliyoisikia kwake, na kuihubiri kwenu, ya kwamba Mungu ni nuru, wala giza lolote hamna ndani yake.


bali tukienenda katika nuru, kama yeye alivyo katika nuru, tunashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo