Isaya 19:15 - Swahili Revised Union Version15 Wala haitakuwako kazi yoyote katika Misri iwezayo kufanywa, ya kichwa au ya mkia, ya tawi au ya nyasi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hakuna mtu yeyote nchini Misri, kiongozi au raia, mashuhuri au duni, awezaye kufanya lolote la maana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hakuna mtu yeyote nchini Misri, kiongozi au raia, mashuhuri au duni, awezaye kufanya lolote la maana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hakuna mtu yeyote nchini Misri, kiongozi au raia, mashuhuri au duni, awezaye kufanya lolote la maana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Misri haiwezi kufanya kitu chochote, cha kichwa wala cha mkia, cha tawi la mtende wala cha tete. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Misri haiwezi kufanya kitu chochote, cha kichwa wala cha mkia, cha tawi la mtende wala cha tete. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Wala haitakuwako kazi yoyote katika Misri iwezayo kufanywa, ya kichwa au ya mkia, ya tawi au ya nyasi. Tazama sura |