Isaya 16:13 - Swahili Revised Union Version13 Hilo ndilo neno lile alilolisema BWANA juu ya Moabu zamani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hili ndilo jambo alilosema Mwenyezi-Mungu wakati uliopita kuhusu Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hili ndilo jambo alilosema Mwenyezi-Mungu wakati uliopita kuhusu Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hili ndilo jambo alilosema Mwenyezi-Mungu wakati uliopita kuhusu Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Hili ndilo neno ambalo Mwenyezi Mungu ameshasema kuhusu Moabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Hili ndilo neno ambalo bwana ameshasema kuhusu Moabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Hilo ndilo neno lile alilolisema BWANA juu ya Moabu zamani. Tazama sura |