Isaya 14:18 - Swahili Revised Union Version18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa wote kwa heshima, Kila mmoja ndani ya nyumba yake mwenyewe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa kwa heshima kila mmoja ndani ya kaburi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa kwa heshima kila mmoja ndani ya kaburi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa kwa heshima kila mmoja ndani ya kaburi lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima kila mmoja katika kaburi lake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Wafalme wote wa mataifa wamezikwa wote kwa heshima, Kila mmoja ndani ya nyumba yake mwenyewe; Tazama sura |