Isaya 13:4 - Swahili Revised Union Version4 Kelele milimani kama kelele za watu wengi sana; kelele za falme za mataifa waliokutana pamoja; BWANA wa majeshi anapanga jeshi kwa vita; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Sikilizeni kelele milimani kama za kundi kubwa la watu! Sikilizeni kelele za falme, na mataifa yanayokusanyika! Mwenyezi-Mungu wa majeshi analikagua jeshi linalokwenda vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Sikilizeni kelele milimani kama za kundi kubwa la watu! Sikilizeni kelele za falme, na mataifa yanayokusanyika! Mwenyezi-Mungu wa majeshi analikagua jeshi linalokwenda vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Sikilizeni kelele milimani kama za kundi kubwa la watu! Sikilizeni kelele za falme, na mataifa yanayokusanyika! Mwenyezi-Mungu wa majeshi analikagua jeshi linalokwenda vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Sikilizeni kelele juu ya milima, kama ile ya umati mkubwa wa watu! Sikilizeni, makelele katika falme, kama mataifa yanayokusanyika pamoja! Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni anakusanya jeshi kwa ajili ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Sikilizeni kelele juu ya milima, kama ile ya umati mkubwa wa watu! Sikilizeni, makelele katikati ya falme, kama mataifa yanayokusanyika pamoja! bwana Mwenye Nguvu Zote anakusanya jeshi kwa ajili ya vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kelele milimani kama kelele za watu wengi sana; kelele za falme za mataifa waliokutana pamoja; BWANA wa majeshi anapanga jeshi kwa vita; Tazama sura |