Isaya 13:13 - Swahili Revised Union Version13 Kwa hiyo nitazitetemesha mbingu, na dunia itatikiswa itoke katika mahali pake, kwa sababu ya ghadhabu ya BWANA wa majeshi, na kwa sababu ya siku ya hasira yake kali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nitazitetemesha mbingu nayo nchi itatikisika katika misingi yake kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu siku ile ya hasira yangu kali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nitazitetemesha mbingu nayo nchi itatikisika katika misingi yake kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu siku ile ya hasira yangu kali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nitazitetemesha mbingu nayo nchi itatikisika katika misingi yake kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu siku ile ya hasira yangu kali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kwa hiyo nitazifanya mbingu zitetemeke, nayo dunia itatikisika kutoka mahali pake katika ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, katika siku ya hasira yake iwakayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kwa hiyo nitazifanya mbingu zitetemeke, nayo dunia itatikisika kutoka mahali pake katika ghadhabu ya bwana Mwenye Nguvu Zote, katika siku ya hasira yake iwakayo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Kwa hiyo nitazitetemesha mbingu, na dunia itatikiswa itoke katika mahali pake, kwa sababu ya ghadhabu ya BWANA wa majeshi, na kwa sababu ya siku ya hasira yake kali. Tazama sura |