Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 11:7 - Swahili Revised Union Version

7 Ng'ombe na dubu watalisha pamoja; watoto wao watalala pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Ngombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Ngombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Ng'ombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ng’ombe na dubu watalisha pamoja, watoto wao watalala pamoja, na simba atakula majani makavu kama maksai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ng’ombe na dubu watalisha pamoja, watoto wao watalala pamoja, na simba atakula majani makavu kama maksai.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Ng'ombe na dubu watalisha pamoja; watoto wao watalala pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.

Tazama sura Nakili

Isaya 11:7
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtoto anyonyaye atacheza penye tundu la nyoka, na mtoto aliyeachishwa kunyonya atatia mkono wake katika pango la fira.

Mbwamwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, na simba atakula majani kama ng'ombe; na mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. Hawatadhuru wala kuharibu katika mlima wangu mtakatifu wote, asema BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo