Isaya 1:20 - Swahili Revised Union Version20 bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Lakini mkikaidi na kuniasi, mtaangamizwa kwa upanga. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Lakini mkikaidi na kuniasi, mtaangamizwa kwa upanga. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Lakini mkikaidi na kuniasi, mtaangamizwa kwa upanga. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 lakini mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha Mwenyezi Mungu kimenena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 lakini kama mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha bwana kimenena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya. Tazama sura |