Isaya 1:2 - Swahili Revised Union Version2 Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maana Mwenyezi Mungu amesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maana bwana amesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi. Tazama sura |